kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kisa cha binti wa mfalme

    . Soma kisa hiki Cha (Bint wa mfalme) Mfalme alitangaza kuwa anahitaji kijana ambae atamuoa binti yake, mfalme alikuwa akihishi uko milimani kwahiyo vijana walipewa taarifa kuwa Mfalme anamuoza bint yake kwa kijana jasiri.. Vijana wakaanza kupambania kombe.. ila sharti ilikuwa moja tu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hii inatisha aisee! Nimemkosa binti wa kinyantuzu hivi hivi eti kisa ng'ombe

    Aisee jamani inafikia hatua mwanadamu anauzwa kama kama nguo kwenye Gulio? Kuna msemo mmoja sisi wazaramo tunausema cheza ka ncheza yaani sio poa mwenye power ndio atavuna mpaka nimekata tamaa sasa Kuna theory moja inaitwa struggle for fittest yaani mwenye power ndio atapata asie na nguvu...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tukisema watu wanaamini uchawi sababu ya ujinga kuna watu wanabisha. Hebu soma kisa hiki uone jinsi walivyodili na magonjwa ya mlipuko

    Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake. Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwaga wino kama uliwahi kukumbwa na kisa kama hiki

    Kipindi nipo shule nilikuwa napenda kukaa upande wa dirishani unaotazamana na jiko la shule. Sasa siku moja nikawa naona baba mpishi amefungua sufuria la maharaghe akaweka chumvi, eeh tena ni nyingi hadi akawa kama ana wasiwasi kazidisha ikabidi atoetoe na kijiko lakini nahisi hakufanikiwa...
  6. toriyama

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
  7. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Soma hiki Kisa, ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Ni hivi palikuwa na mwanaume mmoja alikuwa anaishi na mke na watoto watatu wamekuza mpaka mmoja kaoa . Huyo baba alipenda kuvaa nguo nzuri sana na alikuwa anajulikana Kwa kujipenda . Mno Sasa Kuna siku Moja aliitisha kikao Cha ukoo akasema anataka kuoa mke mpya mwenye kuendana naye Kwa mavazi,na...
  8. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli : Nahitaji mnisaidie wakuu

    Habari za muda huu wakubwa Itaendelea
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  10. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu. Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa. Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi) Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hiki kisa kimenisikitisha Mno, wazazi kizazi hiki kimeharibika, saidieni Binti zenu

    HIKI KISA KIMENISIKITISHA MNO, WAZAZI; KIZAZI HIKI KIMEHARIBIKA, SAIDIENI BINTI ZENU. Anaandika, Robert Heriel Mama mmoja amenipigia simu juzi, akanisimulia kisa hiki; " Nina Binti yangu, nimemsomesha mpaka CHUO akamaliza shahada yake ya Kwanza Mwaka 2016. Hakurudi nyumbani akatomea Huko...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

    Hello, Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani. Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo. Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  14. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kuchekesha kuhusu roho mbaya za walimu wa kibongo

    Wasaalam.. Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

    Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau. Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Marehemu Pele na mtoto wa mchepuko

    😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha Pele yenye thamani ya £13 million ambazo ni zaidi shilingi bilioni 37.5 za Tanzania, amelijumuisha pia...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

    Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi. Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada? Kazi ipo.
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tusimulie visa vya Walimu wa Sunday School

    Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale. Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha anatumia dakika nyingi sana kusali kwake kama dakika 5 hivi ambazo zilitosha mimi kuimaliza Atlas...
  19. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Zanzibar itajitenga kisa …?

    Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji...
Back
Top Bottom