kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya kiroho nawaomba haraka

    Habari! Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri. Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17. So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mchungaji Kumuyi wa Nigeria ameanguka kiroho?

    Ni Pastor mkubwa wa kanisa kubwa la kilokole kule Nigeria linaitwa Deeper Life, anasifika kwa kuhuburi injili ya utakatifu na kuishi maisha matakatifu. Mwanzoni kulingana na baadhi ya shuhuda za watu inasemekana yeye ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ila siku hizi mbili tatu nimeona picha zake...
  5. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

    Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi. Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba, magreda...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

    Wadau wote Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo. Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon Karibuni tupeane maarifa Sabato njema Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
  7. JamiiForums Tanzania Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  8. JamiiForums Tanzania Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
  9. JamiiForums Tanzania Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

    Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa kiroho ni tendo la ndoa. Wote ulioshiriki nao ndio wake au waume zako

    Kiroho sio Kisheria. Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo. Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo kiroho huku wakiwa na mke au mume mmoja kisheria. Cha kufanya, mtafute yule aliyekutoa ubikra wako...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa Watanzania - 2

    Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania. Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa wakuu wa mikoa na wakurugenzi unanukia, jiandaeni kiroho na kimwili

    Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri. Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Simba wezindulia jezi zao kwenye like cha Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani. Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani" Ni hivi Mount Kilimanjaro is the most FREE STANDING tallest mountain in the world Mount Everest is a mountain...
  16. JamiiForums Tanzania Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes. Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unaweza pata Mafanikio bila Nguvu zozote za kiroho?

    Hello Kama mtu mpamanaji mwenye ndoto za Kupata Mafanikio ambayo yamesimama je unaweza kuyapata bila Nguvu za kiroho? Hapa sizungumzii Mafanikio ya Nyumba gari na NO Namaanisha Mafanikio Makubwa ya kuishi vizuri huku ukiwa Una uhakika hata ukilala kitandani miaka mitano bado Biashara zako...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka kogwa imembeba nini kwa mizania ya kiroho?

    Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii. Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi, Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko ili nimuombe anipe picha kamili huwa ikoje, aliniambia, 1. Kabla ya siku ya kwanza ya mwaka kogwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

    Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu. Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo. Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
  20. JamiiForums Tanzania Kosa hili la Kiroho limewafanya wakristo wengi kuishi maisha magumu

    Habari, Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili." Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…