Mkristo kuwa Masikini ni matokeo ya Shambulizi la Kiroho

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,603
15,404
Mungu alimuumba mwanadamu tajiri na mwenye vingi.

Adamu alikuwa ni mtu aliyepungukiwa kitu kimoja tu dunia nzima. katazo la ulaji wa mti wa mema na mabaya. Baada ya shambulizi la kiroho ndio manadamu akaanza kuwa na mapungufu na masikini wa vitu.

Kwa mkristo kuishiwa, kupungukiwa isichukuliwe ni suala la kiuchumi tu. Ichukuliwe kiroho. Unaweza kuwa umepandikiziwa mindset ambazo zinahamasisha umasikini na upungufu.

Pia unaweza kuwa umeshambuliwa kiroho usiwe na awareness ya utele uliokuzunguka.

Kumbuka mafanikio ya mkristo ni matokeo ya utegemezi wa nguvu za Mungu na juhudi za kibinadamu.

Ni hayo tu.
Maelezo zaidi, uliza ujibiwe.
 
Back
Top Bottom