kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

    Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ? Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
  2. Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  3. Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  4. Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake. Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa. Mtume Petro naye alikumbusha kuombea...
  5. Kuna kipindi unaomba ardhi ipasuke

    Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto. Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa...
  6. Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  7. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  8. Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  9. I

    Watanzania tupo kwenye kipindi kigumu sana na kwa bahati mbaya kuna dalili za hali kuzidi kuwa mbaya

    Ishawahi kukukuta siku ambayo mpaka umefika mchana wa saa 9 hujaweka kitu tumboni, sio kwamba umefunga hapana bali huna hela ya kula? Ukaona kimbilio pekee ni kumtafuta mtu wako wa karibu akukopeshe angalau hela ya kula tu ili uondokane na zahma inayokukuta. Ukamtafuta wee kwenye simu bila...
  10. DJ Fetty ana-fit kila kipindi

    Nimemsikia kwenye Xxl, Jahazi na sasa power breakfast. Kote nimemuona akifanya vizuri sana. Talent.
  11. Kipindi cha Mr Right mabinti hawataki waume wako kuuza sura tu. Gara B kama uko serious na kipindi hiki fukuza wote

    Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B. Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho 1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
  12. I

    Asante mama kwa Sasa private sector iko strong kabisa

    Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu. Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti...
  13. B

    Jonas Mkude anahitajika mnoo kipindi hiki

    Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
  14. Tukio gani ulifanya shuleni likakupatia umaarufu kipindi hicho

    Kwa wale wazee wa matukio shuleni ebu tupe tukio ambalo shuleni lilikupa umaarufu kipindi hicho ukiwa shuleni
  15. Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

    Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani? Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
  16. Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

    Kwa taifa letu Karantini lingewezekana? Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani? Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana...
  17. Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  18. Ratiba ya vyakula kipindi cha Ramadhani, leta yako tushirikishane

    Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo, Day1: Tende Shurba Chapati Maharagwe ya nazi Samaki wa kukaangaa Day2: Kaimati viazi karai Chapati na Mbaazi Fruit Custard Day3: Bajia Cutlets Shurba Chapati Viazi vya Rojo Nyama ya kukangaa Day4: Vitumbua Mchuzi wa...
  19. Kwa Director kipindi Cha sports AM Azam sports 1 tar 3/4/2022

    Mtangazaji wenu mahamoud bin Zubery anapiga miayo wazi wazi na mbaya zaidi sio tu sauti ya miayo kusikika Bali anaonekana wazi wazi akipiga miayo... Kama Hilo halitoshi pia anakosea kutaja muda wazi wazi saa 10:21 anasema saa saa 10:30, Director huu ni uzembe wa hali ya juu.. Vipi kama siku...
  20. Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

    Habari! Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani. Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke. Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…