kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Michezo cha EA Radio cha Usiku huu wana maana gani Kuanza Kipindi chao na Wimbo huu wa Christian Bella?

    Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  3. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Nchi inapitia kipindi kigumu kweli

    Hawa ndio wanasababisha sisi generation ya 2000's tudharaurike sana
  4. Half american

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kipindi tatanishi cha umeme ndio kinaanza rasmi, umejiandaaje?

    Tusalimiane Ivo Ivo tu hakuna namna. Kila mwaka inapofika mwezi wa kumi balaa ndio huwa linaanza. Kama ni kipenga ndio kinapulizwa rasmi kuashiria kuwa goma ndio linaanza. Kama kujiandaa ndio kumefika Sasa. Kipindi hiki huwa hakuna utulivu ni vurugu tupu kila kona, taa za mchina na vibatari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

    Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania. Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili. Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili. Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
  9. Pridah

    JamiiForums Tanzania Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

    Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika. Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

    Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo. Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowaamrisha kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama...
  11. Mi bishoo tu

    JamiiForums Tanzania Taifa linapitia kipindi kigumu. Huyu ndiyo kocha wa Biashara Mara

    Edina Lema ndie kocha msaidizi wa biashara united ya mkoani Mara. Hongereni wanajeshi wa mpakani. Nasema hongereni hasa viongozi wa juu!
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

    Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia. Wanazuoni na wananchi wa kawaida. Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi. Bado...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

    Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu tumetungishwa mimba kipindi cha baridi

    Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto. Wengi jambo hili litawachekesha lakini picha mtaipata ukubwani, mtakapobalehe mtagundua kuwa na maanisha nini. Sasa hivi habari iliyopo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Sasa Chadema mtuongoze vyema kipindi hiki. Watanzania tunahitaji mwongozo wenu tumevurugwa

    Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika. DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani. Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba huu usio na chembe ya uzalendo, kundi hili limeangalia maslahi yao binafsi na kuuza bandari zetu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye alarm ya kipindi Cha michezo rtd aniwekee hapa

    Kama Kuna member anaweza kunisaidia aniwekee hiyo sauti hapa jukwaani nitashukuru
  20. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo ni Musiba wa kipindi cha Samia?

    Wasalaam. Kupitia wimbi la Ubinafsishwaji wa Bandari, kumeibuka na makundi kadhaa. Lakini kuna huyu anayejiita Sheikh Mwaipopo. Kwanza, wakati wa uongozi wa awamu ya tano kuna mtu aliyejiita Mwanaharakati Musiba. Mtu huyu kwa mwamvuli alitumia vyombo vyake vya habari (online tv na magazeti)...
Back
Top Bottom