kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wapo ondoeni kipindi cha magazeti kiwe cha cha Coasta na porojo

    Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi! Hii ni kero kwa wasikilizaji.
  2. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisabisha mkachapwa Darasa zima kipindi unasoma?

    Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa. Naangalia kwenye ki-box cha chalk, nikakuta kitambaa fulani cheupe. Nikakichukua nikasafishia ubao. Madame...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

    Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi... Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania. Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

    Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia ulivyosemwa kipindi haupo tena na ambao ulijua wangekutetea hata usipanic(hamaki), ndivyo ilivyo kwenye jamii maskini ✍️

    UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️ Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine yaani kwa lugha rahisi tuseme Majungu. Ondoka usemwe huu ni msemo maarufu sana wenye maana kuwa...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

    Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN Huko...
  12. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  15. thadayo jr

    JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Josephine Myrtle Corbin angezaliwa Afrika kipindi hicho?

    Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868. Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya viungo vya uzazi uzazi. Madaktari mbalimbali waliomfanyia uchunguzi walibainisha kuwa Josephine alikuwa na afya njema na anaweza kuishi kama binadamu...
  17. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani). Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

    Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja" ©️ Simba Sports Club official page
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii wasitumike ovyo na wanasiasa kipindi cha uchaguzi kwa kutanguliza pesa bali waangalie sera na maono ya wanasiasa hao katika kuleta maendeleo

    Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
  20. Sidebin06

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
Back
Top Bottom