kipindi hiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  2. Kazanazo

    Upo wapi kwa sasa, kwanini upo hapo ulipo kwa kipindi hiki

    Leo ni tarehe 8 December hebu tuambie upo wapi kwa sasa mjini au kijijini! Kwanini upo hapo ulipo Binafsi nipo mjini naendelea na shughuli zangu kama hamna kinachoendelea nchini wewe je?
  3. R

    PostGE2025 Mwigulu acha ubabe kipindi hiki, haulipi

    Kipindi hiki ubabe haujengi, unabomoa. Unaweza kuilinda nchi nchi kwa diplomasia na wànanchi ambao ndio wenye nchi!
  4. M

    PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  6. heartbeats

    Epuka haya kipindi hiki

    Poleni kwa misiba, Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika. Enewi twende na muda...
  7. DuaZaMama

    Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  8. secretarybird

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  9. Lord Denning

    Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  10. Common Folk

    Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  11. Hance Mtanashati

    GE2025 CCM waliopo humu kipindi hiki cha mfungo wanataka nini?

    CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90. Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa. Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
  12. Chizi Maarifa

    Nimekumbuka hiki Kisa kipindi hiki Jamiiforums si ni Utawala Huru? Tunajimwaya mwaya tu

    Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona? Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje na wakati wamefungiwa? Je wanaingia JF kupitia VPN? kosa jingine. Nikakumbuka habari ya Mlinzi...
  13. K

    GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  14. W

    Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

    Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini. Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
  15. Rule L

    Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  16. OLS

    Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  17. Akhi

    Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  18. JITU BANDIA

    Tuwe na Kiasi Kwenye Kuwasema na Kuwajadili, Maana Siasa Muda Wowote Mambo Yanabadilika! Hasa Kati kipindi Hiki Tanzu! Bado ni Asubuhi Sana!

    Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe, Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa! Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
  19. Inkotanyi 94

    Napauka mno kipindi hiki, nitumie nini?

    Amani iwe pamoja nasi sote! Tukiachilia matatizo yanayoendelea; cambodia, pakistan, gaza, yemen, drc, ukraine, sahel, gen z, brics, iran, Lisu, Pole Pole, gwajima, mchujo CCM na bilion ya Taifa stars.... hebu tuangazie pia la ngozi yangu. Wajuvi wa ngozi za kiume. Nipo dar. Kipindi hiki napauka...
  20. L

    Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
Back
Top Bottom