kipigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

    Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano. Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kila mwana Yanga SC unayekutana nae baada ya Kipigo anasema Inshaallah hivi ina maana USMA wao hii Inshaallah haiwahusu?

    Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara? Kudadadeki imeshaisha hiyo.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zijue Kauli mpya za Kujitetea za wana Yanga SC baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USM Alger FC

    1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali 3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe 4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

    Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma. Basi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

    Nguvu Moja
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi. Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa kipigo kwa Ihefu, anayefuata anajielewa!

    Anayefuata anajielewa, aanze tu kutia maji asije kunyolewa kavu kavu, ohoooo!!!!
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi na watoto warefu mnakabiliana nao vipi wanapogoma kuadhibiwa kwa kipigo? Wamewahi kuwabadilikia?

    Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k. Sasa basi unakuta sometimes kijana mdogo yupo hata...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin amfuta kazi Jenerali baada ya aibu ya kipigo

    Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo... Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern town of Vuhledar ended with dozens of tanks being destroyed. General Rustam Muradov was sacked in the...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Raja AC yashtushwa na kipigo alichotoa Simba kwa Horoya

    Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam. Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na ubora na wingi wa magoli ambayo Simba walimtandika Horoya. Tukumbuke Raja alimfunga Horoya kwa shida...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Horoya chawaibua Tanzania Prisons

    Mimi nimeona kupitia page zao.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

    TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia. Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kipigo Kitakatifu cha Tunisia nauliza Utambulisho wa Jezi za Yanga SC haukuhusisha na Bukta zao?

    Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu. Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

    Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea. Na hii siyo...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

    Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO... Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tarime: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliotaka kumshushia kipigo ajuza

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari Polisi ashikiliwa kwa tuhuma za kumjeruhi mwanaye kwa kipigo kikali

    Herbert Gappa (7), Mtoto anayesoma Darasa la Kwanza Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza iliyopo Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, amelazwa hospitalini baada ya kudaiwa kupigwa na kujeruhiwa vibaya sehemu zake za mwili na baba yake mzazi, ambaye ni askari Polisi, Abati Benedicto Nkalango. Mtoto...
Back
Top Bottom