kipigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

    Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali. Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
  2. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  3. GENTAMYCINE

    Msemaji wa M23: Hatujashirikishwa katika Mazungumzo ya Amani Nairobi hivyo Kipigo kitaendelea huko Congo DR

    "Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille...
  4. BARD AI

    Familia yagoma kumzika ndugu anayedaiwa kuuawa kwa kipigo

    Mwili wa Ibrahim Shakiru (16) utaendelea kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Bugando mpaka pale familia ya mtoto huyo itakapoelezwa hatua zilizochukiliwa dhidi ya watu waliomshambulia na kusababisha kifo cha mtoto wao. Ibrahim anadaiwa kufariki Jumatano Oktoba 26, katika...
  5. MK254

    Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa ===================== Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone...
  6. DR HAYA LAND

    Jirani yangu kapigwa kipigo kikali na mumewe hadi kapoteza fahamu, mdomo umemponza

    Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga...
  7. S

    USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

    Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv. Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
  8. MK254

    Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

    Hakuna kuachia, moto ni ule ule.... Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine. The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
  9. BARD AI

    Kipigo cha magoli 9 chamfuta kazi Kocha wa Bournemouth

    Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England kufungashiwa virago tangu msimu ulipoanza. Taarifa iliyothibitishwa na Mmiliki wa klabu hiyo, Maxim Demin...
  10. John Haramba

    Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  11. B

    Kipigo cha Simba SC, kosa la kocha Zoran

    Ukiiangalia vizuri mechi hii unaona kabisa kocha wetu sidhani kama yupo vzr. Tshabalala siku hiyo alikuwa uchochoro kuliko hata Israeli kama ambavyo watu wetu wanamlaumu. Tshabalala goli la pili wenzake waliweka mstari kutengeneza offside trick yeye akarudi nyuma. Hii ni kutokuwasiliana vizuri...
  12. M

    Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

    Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
  13. JanguKamaJangu

    EPL: Man United yapata kipigo ikiwa Old Trafford, Ronaldo aanzia benchi

    Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022. Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
  14. M

    Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

    Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!! Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie...
  15. N

    Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  16. sky soldier

    Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  17. sinza pazuri

    Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

    Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania. Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na kipigo kitakatifu kutoka kwa wakenya wachache waliojitokeza. Bahati nzuri polisi waliwahi na kumchukua...
  18. M

    Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

  19. Lady Whistledown

    DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  20. 5

    Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

Back
Top Bottom