Je, Kipi bora? Unachopenda au chenye Maslahi??

Je, Kipi bora? Unachopenda au chenye Maslahi??

Joined
May 31, 2025
Posts
17
Reaction score
6
Habari za muda huu wanajamii forum!

Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔

Ila nafikuria kusoma diploma ya radiology ambayo ajira yake ni uhakika Kwa upande wangu pia maslahi yake ni mazuri .ila sipo vizuri sana kwenye biology

Naomba ushauri wenu wanajamii forum naamin huku Kuna watu wenye experience kubwa zaidi na kunipa ushauri ulio Bora zaidi.

Naomba kuwakilisha
 
KAma unaogopa kwenda Radiology kisa Biology,
mimi nakushauri nenda Tuu huko Radiology, Biology ni rahisi ukiipenda na uzuri ukifika chuo ni kama unaanza upya.
 
KAma unaogopa kwenda Radiology kisa Biology,
mimi nakushauri nenda Tuu huko Radiology, Biology ni rahisi ukiipenda na uzuri ukifika chuo ni kama unaanza upa
Anh sawa ahsante. Ila sijajuah kama radiology Ina lipa vizuri
 
Back
Top Bottom