kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aina za biashara za reja reja zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo ama na mtu hata mwenye kipato cha chini

    1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k 2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Okoa Mazingira, Safisha Miji na Kujipatia Kipato

    Tatizo (Problem worth Solving) Nishati ni muhimu sana kwa jamii ya sasa, kwa bahati mbaya sana tunatupa nishati hiyo kwa kuharibu mazingira badala ya kuitumia na kuendelea mzunguko (Life Cycle)…, YAANI... (Tunachafua Huku)..... Na Kuharibu Hapa..... Ili Tupate Hiki.... Wakati tungeweza...
  3. JamiiForums Tanzania Linda kipato chako kwa kujifunza elimu ya fedha

    Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha. Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.
  4. JamiiForums Tanzania Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kuuza Kiswahili Kidigitali na kujiingizia kipato

    Je Kiswahili ni bidhaa? Kwa vipi Kiswahili kinaweza kuuzika? Swala hili linaweza kuwa geni kwako hasa kama hujawahi kupata fursa yakutangamana kimazungumzo au maandishi ya manguli hawa walugha yakiswahili kuhusu ubidhaishaji wa Kiswahili, ambao ni prof, Clara Momanyi, Dkt Mahenge, Wallah bin...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Kipato duni na Ugonjwa wa UVIKO - 19 (COVID-19)

    UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19) Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika umaskini. Janga hili pia linatoa changamoto kwa serikali , uwezo wa kifedha ambao ulikuwa tayari...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
  8. JamiiForums Tanzania Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

    Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia inaendaje nk. Leo nimekuja natafuta mtu aina yako,ambaye ataweza Post matangazo 24/7 na kujibu comment za...
  9. JamiiForums Tanzania Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
  10. JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2021 ni ya matajiri tu. Wananchi wa kipato cha kawaida jipozeni kwenye kubet tu,haina maslahi kwenu

    Alieona sehemu mwananchi wa kawaida kuguswa na bajeti ya mwaka 2021 alete hapa na sisi tuone. Boda boda kupunguziwa adhabu toka 30k mpaka 10k, kumbuka wenye pikipiki wengi ni mabosi,vijana wanapeleka hesabu tu,hapo kijana kafaidika nini? Sehemu pekee yenye watu wa hali zote ni kubet. Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Natarajia kuhamia Dar es Salaam

    Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
  13. JamiiForums Tanzania Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  16. JamiiForums Tanzania Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

    Habari zenu wadau! Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country. Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania. Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

    Kwema wana jukwaa la JF Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia Nina uzoefu na kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano

    Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…