kioo

  1. ELI COHEN

    Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  2. itakiamo

    Kioo cha smart TV Ailyons 43"

    Naomba kufahamishwa bei ya kioo cha TV ya 43 inches.
  3. WIMICKY

    Natafuta kioo cha sony 10iii

    Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na nipo mara nahitaji kioo chake
  4. jT0078

    Je, laptop yako imepasuka kioo au housing?

    Tunauza na kubadilisha vioo vya Laptop na Housing zake. Ilala - Dsm 0718290779
  5. C

    Nauza kabati la kioo

    Habari wadau nipo Morogoro mjini nauza kabati la kioo, bei laki 3 na 50.
  6. uvugizi

    KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  7. S

    Alietumia dawa za Wachina za kuziba ufa waa kioo cha gari na kuondoa mikwaruzo akafanikiwa tunaomba ushuhuda wako

    Hivi karibuni kumekuwa na kila aina ya products za Wachina zikitangazwa mitandaoni na kusifiwa sana. Kuna baadhi ya products hizi ni fake na uongo mkubwa hadi unashangaa kwa nini serikali inaruhusu utapeli wa namna hii kwa wananchi wake! Mojawapo ya products nimeiona kwenye mitandao ni hizi za...
  8. Lexus SUV

    Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  9. noel oga

    Natafuta kioo cha samsung s9

    Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p
  10. Fbn

    Tukio la kupasuka kioo cha ndege kilicho mtoa rubani na kupona

    Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu. Nguvu ya...
  11. Carlos The Jackal

    Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  12. P h a r a o h

    Sauti za Farao zinarudi: Tanzania katika kioo cha Misri ya kale

    Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
  13. Ayubugeorge

    Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
  14. Mshana Jr

    Maua kioo yanayostawi Japan

    Kwa haraka unaweza ukadhani ni picha za kutengenezwa na akili mnembe.. Lakini hizi ni picha halisi za maua yanayostawi nchini Japan.. Na kwa jinsi jamaa walivyo wachoyo😀 hakuna mbegu wamewahi kugawa.. Wanalinda sana tunu zao za kipekee..lakini linapatikana pia China na Marekani
  15. R

    Kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ninunue simu gani ambayo kioo chake hakizidi laki 1 ?

    Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
  16. R

    Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

    Naweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
  17. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  18. Jini Kisiranii

    Usilale kioo cha delressing table unajiona

    Habarini wakuu ndugu ,@ mshana. Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua...
  19. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  20. Nikola24

    Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Back
Top Bottom