Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine.
Aidha ametoa...
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo.
Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile.
Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi.
Amesema chama hicho siyo cha...
Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa...
Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata...
Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
"Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA.
Ninaandika huu...
Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita.
“Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA).
“Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
Mvutano kati ya Marekani na Iran una mizizi ya kina katika historia, itikadi na mapambano ya madaraka, na kupanda kwa nguvu kwa Maimamu Wakuu (Ayatollah) kulibadilisha kabisa uhusiano huo. Ili kuelewa kama Ayatollah alikuwa “tatizo” kwa Marekani na Iran, ni lazima tuanze kabla ya Mapinduzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.