Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,669
155,068
Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.

Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.

Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.

Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.

Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.

Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.

Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
 
Pawa wakati analinda Bills mwanae alikua DJ pale.

Sasa kumkuta Pawa na mwanae wako kwenye sofa kila mmoja anashona goma lake lilikua jambo la kawaida tu.

Hata hivyo stori nyingi kuhusu maeneo zinakuzwa.

Kwa mimi mkazi wa maeneo hayo nakuambia kwamba eneo hatari lilikua Chaukucha na kundi hatari lililoundwa na watoto lilikua Majani Unit. Hawa Panya Road walizunguka maeneo ya huko Mwenge na Sayansi sisi tukajiorganize kuwasubiri pale Uwanja wa Sparta.

Aliyewatonya wasije aliwaokoa.
 
Lakini mpaka leo gongo inanyweka mchana bila wasi, kuvuta bange hadharani mtindo mmoja, malaya watoto ndio usiseme, ngoma na yenyewe pale imetamalaki.

Kuna siku nilienda na dogo fulani wa mitaa ile nilimkuta pale kota karibu na kwa black, nikamwambia leo nipeleke kitaa kwenu ila sitaki niibiwe, ndio nikajionea yote hayo.
 
Sogodo noma Sana, unaporwa mchana kweupeeeeeeee huku mporaj8 akikuchekea na utabasamu.
 
Pawa wakati analinda Bills mwanae alikua DJ pale.

Sasa kumkuta Pawa na mwanae wako kwenye sofa kila mmoja anashona goma lake lilikua jambo la kawaida tu.

Hata hivyo stori nyingi kuhusu maeneo zinakuzwa.

Kwa mimi mkazi wa maeneo hayo nakuambia kwamba eneo hatari lilikua Chaukucha na kundi hatari lililoundwa na watoto lilikua Majani Unit. Hawa Panya Road walizunguka maeneo ya huko Mwenge na Sayansi sisi tukajiorganize kuwasubiri pale Uwanja wa Sparta.

Aliyewatonya wasije aliwaokoa.
Panya rodi magasho tu
 
Lakini mpaka leo gongo inanyweka mchana bila wasi, kuvuta bange hadharani mtindo mmoja, malaya watoto ndio usiseme, ngoma na yenyewe pale imetamalaki.
Kuna siku nilienda na dogo fulani wa mitaa ile nilimkuta pale kota karibu na kwa black, nikamwambia leo nipeleke kitaa kwenu ila sitaki niibiwe, ndio nikajionea yote hayo.
Unaipata mitaa ya Chideo? Vipi hatari za huko?
 
Hahaha...kuna watu wamekaa kinondoni
Na sehemu zingine lkn ukiwapambia
Sogodo ushawahi fika ama kupajua,hawajawahi

Segodo iko msufini,msisiri huko kuna watu wamepinda wahuni balaa,pombe,bangi
Etc vinafanyika huko,polisi wenyewe kwenda
Huko ni mtihani
Kama Huna connection mtu wa kawaida
Ukienda huko utaishia kufanyiwa umafia

Muda sana nlishawahi ku comment kwa Mshana Jr kuhusu sogodo 😂😂
Binafsi mm nishatimba sana maeneo hayo

Ova
 
Pawa wakati analinda Bills mwanae alikua DJ pale.

Sasa kumkuta Pawa na mwanae wako kwenye sofa kila mmoja anashona goma lake lilikua jambo la kawaida tu.

Hata hivyo stori nyingi kuhusu maeneo zinakuzwa.

Kwa mimi mkazi wa maeneo hayo nakuambia kwamba eneo hatari lilikua Chaukucha na kundi hatari lililoundwa na watoto lilikua Majani Unit. Hawa Panya Road walizunguka maeneo ya huko Mwenge na Sayansi sisi tukajiorganize kuwasubiri pale Uwanja wa Sparta.

Aliyewatonya wasije aliwaokoa.
Mwanae power si ndy yule dj irvan mnyoa kiduku

Ova
 
Hahaha...kuna watu wamekaa kinondoni
Na sehemu zingine lkn ukiwapambia
Sogodo ushawahi fika ama kupajua,hawajawahi

Segodo iko msufini,msisiri huko kuna watu wamepinda wahuni balaa,pombe,bangi
Etc vinafanyika huko,polisi wenyewe kwenda
Huko ni mtihani
Kama Huna connection mtu wa kawaida
Ukienda huko utaishia kufanyiwa umafia

Muda sana nlishawahi ku comment kwa Mshana Jr kuhusu sogodo 😂😂
Binafsi mm nishatimba sana maeneo hayo

Ova
Ndio mitaa yangu hiyo, bata letu la kigumu kichizi. Binti wa darasa la nne anakunywa dabokiki 6 kavu na ana mabwana wanne, wote wanajuana
 
Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja

Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo

Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea, kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu

Ova
 
Back
Top Bottom