Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya...
Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Sio siri mtu huyu Britanicca ni watu ninaowakubali sana hapa JF. Ni mtu mwenye uwezo wa ajabu sana wa kufikisha taarifa kwa ufupi na akaeleweka lakini zaidi ni mtu anayejua vitu vingi sana kwenye nchi hii na zaidi ya yote ninapenda mtindo wako wa kujifanya kuuliza jambo huku akiwa analijua...
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi...
Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani,
akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo.
Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk.
ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?
Can it be accounted for?
Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano.
Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
Wakuu,
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho.
Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo.
Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico.
Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
Wana JF,
Muda mfupi mfupi uliopita aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki na Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama changu cha Mapinduzi ametuonya kuwa hakuna Uchaguzi Mkuu rahisi hata siku moja kuwa kura ya mpiga kura ipo moyoni mwake.
Akiwa hapa msibani Masaki kwenye msiba wa...
Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio.
Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye hakufanya juhudi yoyote ya kuomba msamaha.
Membe alirudisha kadi yake CCM badala ya kutubu.
Maendeleo...
Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma.
Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja.
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza ukweli, hajaomba radhi kwa kuwa alisema alichokuwa anakiamini.
Membe kasema yeye siyo mhalifu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.