kinana

  1. BigTall

    Kinana: Viongozi wazuri wanaogopa kugombea sababu wanajua watatakiwa kutoa fedha nyingi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi. Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

    KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa...
  3. S

    Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne. #ChamaImara #KaziIendelee
  4. I

    Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. Akizungumza na...
  5. B

    Kinana: Kila mwanaccm ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, wanaccm jitokezeni kugombea ndani ya chama

    #NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA. "WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya kuchaguliwa na kuchagua." Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Ukumbi wa Diamond Jubilee -...
  6. J

    Kinana atembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

    KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika...
  7. J

    Kinana aungana na wanaccm wenzake kufanya uchaguzi katika shina lao Kinondoni

    KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 , 2022 ameungana na Wanachama wenzake wa Shina Namba 9, Tawi la Masaki, Kata ya Msasani wilaya ya...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  9. Suzy Elias

    CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
  10. S

    Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

    Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
  11. JanguKamaJangu

    Mzee Kinana ataja ugumu vijana kupenya uongozi, ataka wapewe nafasi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye...
  12. Jaji Tz

    Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  13. T

    Ushauri kwa CCM: CCM ijichimbie mizizi mirefu na imara

    Ndani ya CCM kumeibuka tabia ya baadhi ya wanachama kujiona wana nguvu sawa au kuliko Chama. Tuliona hivyo mwaka 2015 wakati Lowassa alipokatwa CCM kwamba CCM ikatike naye. Haiwezekani chungu akawa mkubwa kuliko mfinyanzi. Tabia hii si tu inahatarisha uwepo wa CCM lakini pia inachangia...
  14. OMOYOGWANE

    Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  15. Etwege

    CCM ya Awamu ya Tano ilisamehe wengi akiwemo Kinana

    CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye chama kipindi hicho. Miongoni mwa misururu ya wanufaika wa misamaha hiyo ni pamoja na makamu...
  16. Magazetini

    Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  17. L

    Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

    Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi. "BWANA...
  18. Jidu La Mabambasi

    Hongera Kinana, CCM tunayoifahamu imerudi!

    Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM. CCM ya hoja, CCM ya mshikamano CCM ya umoja CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu. CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana. CCM ya...
  19. Q

    Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
  20. britanicca

    Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

    Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana 1 CCM sio mali ya serikali 2 CCM haiagizwi na serikali 3 CCM ndio inaiagiza serikali Ni maneno machache yana maana kubwa Twende kazi Hapi Alli Nakusalimia sana Britanicca
Back
Top Bottom