kimkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati

    Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
  2. JamiiForums Tanzania Mkeka wa Kimkakati wa Wakuu wa Wilaya washindwa kuzuia shangwe za Mapokezi ya Tundu Lissu

    Taarifa za Kiintelijensia kutoka chanzo cha kuaminika zinadokeza kwamba, kutangazwa leo Ma DC wapya lilikuwa jambo la Kimkakati ili kuwapoteza maboya watanzania na hasa wakazi wa DSM kuhusu Ujio wa Lissu. Hata hivyo mkakati huo umefeli vibaya sana! Mtoa Taarifa anadai kwamba kufeli kwa njama...
  3. JamiiForums Tanzania Kila vuguvugu la kimkakati lilianzia katika vijiwe vya Kahawa, Zanzibar na Bara

    Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi...
  4. JamiiForums Tanzania Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tumpatie Rais Samia utulivu amalizie miradi ya kimkakati iliyopo

    Na Thadei Ole Mushi. Watanzania wangeelewa umuhimu wa hii miradi miwili mikubwa SGR na Bwawa la Mwalimu Nyerere linalozinduliwa leo wangeipongeza Serikali kwa kuendelea kuhakikisha inakamilika hata kwa kukopa halafu tuje tulipe. Ni miradi ambayo ni ya kimkakati na itaifungua hii nchi sana hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Huruma ya kimkakati katika mapenzi

    Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa upweke wa hii pisi nimekuwa mfariji, anaebalance hisia zake na utulivu. Of recent, she has amidstly...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la Law School of Tanzania limeletwa kimkakati wa watu wachache

    Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
  9. S

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, issue ya Masanja imeletwa kimkakati kututoa kwenye mjadala wa Trilioni 360?

    Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani. Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya. Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Press Conference ya Mwigulu ilikuwa ni ya kimkakati

    Nawasalimu sana wakuu, Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

    Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata ushindi kiduchu usiendana na rasilimali alizotumia. Ameeleza kuwa Klemlin inaendelea kupungukiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
  16. JamiiForums Tanzania Mikopo ya kimkakati ya Ku stimulate uchumi

    Kwa mtazamo wangu Mama anafanya Vizuri sana na pia najua kuwa sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa wakati mmoja hata hivyo nimeona nichangie yafuatayo; Ili kuwa na makusanyo ya Kodi makubwa na ya uhakika na kutengeneza ajira nyingi kwa Vijana nafikiri ipo haja ya kutazama upatikanaji wa Mikopo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Bi Sara alifanya kosa kubwa la kimkakati na aliponzwa na Moyo wake huruma

    Wadau hamjamboni Ni hoja ya Kisiasa ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja ya kidini ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja mchanganyiko pia ukiamua iwe hivyo Ni mada inayomuhumu Bi Sara mamake na Isaka Kwangu Mimi naileta kama hoja ya Kisiasa Uamuzi wa Sara uliompatia haki Mumewe ya Kufanya kile...
  18. JamiiForums Tanzania Vipimo Saba vya Ufanisi wa Kimkakati katika biashara

    Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...
  19. JamiiForums Tanzania Hebu tuiangalie nchi ya Ukraine katika kurunzi ya kiuchumi

    UTANGULIZI Mambo mengi sana yameongelewa, lakini kuna yaliyofichika nyuma ya pazia. Unapoangalia mgogoro wa Ukraine na kuuchambua hebu tujitahidi kuzingatia haya mambo muhimu yafuatayo. Tuzingatie umuhimu wa kiuchumi wa nchi ya Ukraine kwenye siasa za Urusi, Marekani na Ulaya. Hapa nazungumzia...
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…