kimataifa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

    Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio wataokwenda kuangalia bure kwenye gemu ya Yanga, kwa hiyo kimahesabu gemu ya Yanga itajaza sana mashabiki...
  2. JamiiForums Tanzania Kama tumekubaliana kuwa wamoja kimataifa, sasa kwanini tumeanza kurogana wenyewe kwa wenyewe?

    Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii. Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kuja huko Dar es Salaam kwa KAZI MAALUM juu ya Simba SC yangu. Na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Iran yaanza uuzaji silaha kimataifa

    Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13. Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha. Pia hii itakua fursa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  5. JamiiForums Tanzania Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kwanza la kimataifa kuhusu 'Artificial Intelligence' ili kulinda Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Alhamisi 21, 2024 limepitisha kwa pamoja azimio la kwanza la kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba nchi kulinda haki za binadamu, kulinda data binafsi, na kufuatilia kwa karibu teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tutacheza mechi za kimataifa ratiba hii

    Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
  9. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tukimpa Rais Samia jukumu la kuwa mtalii namba Moja wa Taifa, tutakuza utalii wa kimataifa Kwa kiwango Cha juu. Tuwatumie mabalozi wamsaidie

    Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio. Kulingana na takwimu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  14. JamiiForums Tanzania Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Shauri Kushiriki “Tokyo Marathon 2024” mwezi Machi

    Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan. Kwenye mbio hizo...
  18. JamiiForums Tanzania Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya nishati na madini yatembelea mgodi wa Barrick North Mara, yavutiwa kwa kuendeshwa kwa viwango vya kimataifa

    Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido (katikati) akitoa ufafanuzi katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipotembelea mgodi wa Barrick North Mara ,(kushoto) ni Meneja wa mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko,(kulia) ni Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa mgodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…