kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mingi, wanawake wapenzi wa rafiki zangu wananitaka kimapenzi

    Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi. Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba tu niwe amtunza utamu wao, hawatanighasi kwa lolote, wanachotaka ni dushe na togetherness. Jamani...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimapenzi tafadhali

    Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi. Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

    Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa. Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
  6. JamiiForums Tanzania Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na rafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanaye kwenye mahusiano ya kimapenzi?

    Hebu sema ukweli wako? Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi? #nyumayapazia
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu kimapenzi Mwenza wako

    Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako; 1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Unakataa ndoa na kuoa halafu unatoka kimapenzi na wake au waume za watu ndio mazuzu walivyo

    Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi. Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2...
  12. JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Wakurungwaaa najeee? Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako. Je, kuna faida au hasara...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  14. JamiiForums Tanzania Ma star wa kike wanaonivutia sana kimapenzi

    Hawa watu haijalishi wametembea nani, mpaka kesho nawapenda, 1. Jennifer Kyaka (Odama) 2. Irene Uwoya 3. Rachel Kizunguzungu 4. Nandi wa Bill Nas 5. Rachel wa mahusiano clouds Naomba wafikishie salam zangu. Mmoja wapo nitampata
  15. JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  16. JamiiForums Tanzania Utafanyaje kama mtoto wa rafiki yako wa karibu anatoka kimapenzi na ex-wife wako mliodumu wa miaka zaidi ya 20 muda mfupi baada ya nyie kuachana

    Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea. Hii ni true story, Mtoto wa Michael Jordan aitwae Marcus Jordan anatoka kimapenzi na ex-wife wa rafiki...
  17. JamiiForums Tanzania Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  19. JamiiForums Tanzania Lamama uliependwa na Mwamba, ukam dang dang Kwa machalii wengine, umemwuumiza Sana kijana wetu kimapenzi...

    Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi 2. Haijalishi...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…