Kilwa Kisiwani ('Kilwa Island') is an island, national historic site, and hamlet community located in the township of Kilwa Masoko, the district seat of Kilwa District in the Tanzanian region of Lindi in southern Tanzania. Kilwa Kisiwani is the largest of the nine hamlets in the town of Kilwa Masoko and is also the least populated hamlet in the township with fewer than 1,000 residents.
At its peak in the Middle Ages, Kilwa had over 10,000 inhabitants. Since 1981, the entire island of Kilwa Kisiwani has been designated by UNESCO as a World Heritage Site along with the nearby ruins of Songo Mnara. Despite its significant historic reputation, Kilwa Kisiwani is still home to a small and resilient community of natives who have inhabited the island for centuries. Kilwa Kisiwani is one of the seven World Heritage Sites in Tanzania. Additionally, the site is a registered National Historic Site of Tanzania.
Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuona utekelezaji wake akielekeza maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wananchi wa Mavuji iwe siku Saba tu.
Mhe. Aweso akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko , mkoani Lindi baada ya kufungua maji ya bomba ya mradi...
Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji.
Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums.
Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili.
Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
Anonymous
Thread
dhuluma
hospital
hospitali
hospitali ya wilaya
idara
jamiiforum
kilwa
kinyonga
lindi
majukumu
manyanyaso
mkoa
sauti
watumishi
wilaya
wilaya ya kilwa
Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100%
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi huo umegharimu Shilingi bilioni 280, fedha zote zikiwa za ndani, na unatarajiwa kuchochea uchumi wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama.
"Leo tunapoizungumzia Chadema tunaamini sisi ni chama ambacho kinafuata katiba na sheria lakini mpaka sasa ndio chama...
Kelele za ajenda hii zimekuwa nyingi kweli! Acha nione mwisho wake
==========
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kilwa kimetoa msimamo wao juu ya tuhuma za Fedha ndani ya Chama hicho zinazomuhusisha Makamu Mwenyekiti John Heche.
Soma Pia:
Katibu wa CHADEMA Jimbo la Handeni...
Habari za wikendi hii wana-JamiiForums!
Leo nimeona tukumbushane kidogo kuhusu dhahabu ya muziki wetu wa kale (Zilipendwa). Nataka tuuangazie wimbo mmoja maarufu sana unaoitwa "Nacheka Cheka Kilwa Leo" ulioimbwa na bendi kongwe ya Kilwa Jazz Band, chini ya uongozi wa nguli marehemu Ahmed...
wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
Wakuu, nawaza hii sijaipata jibu.. kwanini hawa madiwani(baraza la madiwani walikubaliana kuhamisha hii Halmashauri kwenye huu mji mkongwe wa Kilwa Masomo..?
Sehemu ambayo idadi ya watu ni kubwa, pia miji miwili imekaribiana yaani Kilwa Masoko na Kilwa Kivinje ambapo ilikuwa rahisi kuhudumia...
Wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, this weekend nitakuwa Kilwa(Lindi) nataka nitembelee hii miji mikongwe ya kilwa yaan kilwa Masoko na Kilwa Kivinje..
Naomba kufahamishwa maeneo ya kutembea na kubarizi bila kusahau Lodge nzuri za kupumzikia/kulala.
Utalii wa ndani kidogo...
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.