Kilwa Kisiwani ('Kilwa Island') is an island, national historic site, and hamlet community located in the township of Kilwa Masoko, the district seat of Kilwa District in the Tanzanian region of Lindi in southern Tanzania. Kilwa Kisiwani is the largest of the nine hamlets in the town of Kilwa Masoko and is also the least populated hamlet in the township with fewer than 1,000 residents.
At its peak in the Middle Ages, Kilwa had over 10,000 inhabitants. Since 1981, the entire island of Kilwa Kisiwani has been designated by UNESCO as a World Heritage Site along with the nearby ruins of Songo Mnara. Despite its significant historic reputation, Kilwa Kisiwani is still home to a small and resilient community of natives who have inhabited the island for centuries. Kilwa Kisiwani is one of the seven World Heritage Sites in Tanzania. Additionally, the site is a registered National Historic Site of Tanzania.
Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri wa ACT Wazalendo, Ndugu Idrisa Kweweta, leo Mei 18, 2025, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kupitia tiketi ya chama hicho, katika hafla ya kisiasa iliyojaa matumaini na hamasa ya mabadiliko.
Fomu hiyo alikabidhiwa...
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki.
https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4
Raia wa kigeni kutoka Ufaransa, Nakar Fszman (51), amepatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa.
Fszman alipotea Februari 23, 2025, wakati akifanya utalii kwa kutumia Boti aina ya Kayati maarufu kama Kidau, inayotumia kasia...
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya.
Wakizungumza wakati wa ziara ya...
Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa
Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na Italia waliofika na kutembelea hifadhi na fukwe ya kihistoria ya Kilwa Kisiwani.
Hii ni meli ya tatu...
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA.
Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
Habari Wadai,
Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa na chama tawala.
#TaifaLaWote #PolisiwaWote #MaslahiYaWote
Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.