Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 919
- 794
Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100%
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi huo umegharimu Shilingi bilioni 280, fedha zote zikiwa za ndani, na unatarajiwa kuchochea uchumi wa buluu, kuongeza fursa za biashara na kutoa ajira zaidi ya 30,000. Utekelezaji wa mradi huu ni sehemu ya jitihada za kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050.