kilimo

  1. JamiiForums Tanzania Je kilimo cha kokoa Tanzania kipo vipi?

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, programu ya kilimo ya Waziri Bashe iliihusisha Zanzibar?

    Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
  3. JamiiForums Tanzania Make Kilimo Great Again: Tunahitaji Movement ya Vijana kurudi Vijijini, maana hii miji inazaa kizazi maskini

    Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI na drones inaweza vipi kubadilisha kilimo cha misitu ili kuongeza uzalishaji endelevu huku ikihifadhi mazingira ya kijani?

    Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili. Kwa kutumia teknolojia hizi, wakulima wanaweza kufuatilia afya ya misitu, kupunguza uharibifu wa mazingira, na kuongeza tija...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  8. JamiiForums Tanzania Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  9. JamiiForums Tanzania Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimo cha madodoki,

    Kuna vitu ukivitaja unalima au unafanya watu wanaweza kukuona kama umechanganyikiwa jwa sababu kuu 1 tusha zoea yale mambo ya fuata mkumbo yale ya mass, yale mambo yanafanywa na wote.Kama ni kilimo basi tunalimwa wote. Madodoki wengi tunayajua sana hasa enzi za kuishi huko bush, Ila wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Nawezaje / Tunawezaje kuuza nje mazao ya yatokanayo na kilimo

    Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo Kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha ufuta

    Habari zenu wana JF Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,. Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao. Asanteni
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

    Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi. Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo. Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni? Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani. Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi. Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo Hai (Organic Farming)

    Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
  19. JamiiForums Tanzania Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo, lakini hawatuambii walichokosea mpaka wakapata hasara kwenye kilimo, sasahivi mahindi gunia ni 90,000/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…