kilimo

  1. JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  3. JamiiForums Tanzania Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimo cha jembe la mkono kwa Nchi ya Uchumi wa Kati

    Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari. Tanzania ni nchi yenye misitu Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi Tanzania ni nchi yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

    Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  7. JamiiForums Tanzania Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

    Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Masoko ya mkonge

    UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi. MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO -Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Mkonge

    HISTORIA YA ZAO LA MKONGE Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo alichukua miche 1000 kutoka Pwani ya Mexico kwenye jimbo la Yuctan na kuisafirisha kupitia Frolida...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa. Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko China, nazani kulitokea Mugogoro wa Kibiashara.Serikali ya Nigeria ikabidi waje na Sheria kari sana ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji unalipa kuliko kilimo

    Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  13. JamiiForums Tanzania Tujadili uhalisia wa kilimo biashara cha sasa na kilimo afya

    Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali) inayopuliziwa kwenye majani, si kuunga ardhini. Matokeo yake ekari moja unayopata gunia 5 au 10 za...
  14. JamiiForums Tanzania Mliosoma Uchumi na Kilimo nawaomba kupata kitabu hiki

    Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research #natanguliza shukran
  15. E

    JamiiForums Tanzania Njia Sahihi ya kumpima Bashe ni Exports and Imports katika mazao ya kilimo

    Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda. sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
  16. JamiiForums Tanzania Kilimo cha PDF - Parachichi

    Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

    Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hali ya kilimo chetu ni duni

    Kilimo katika nchi hii ni duni sana kutokana na serikali kutothamini wananchi wake hasa wengi wanaoishi vijijini. Sisi ndo wapiga kura lakini kamwe serikali yetu haina habari na maendeleo ya wakulima. Nitoe mifano michache tu kuelezea hii hoja yangu. Serikali imekuwa ikitoa miongozo mizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  20. JamiiForums Tanzania Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…