kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi Kilimanjaro: Tunachunguza tukio la mahabusu kujinyonga katika kituo cha Polisi Moshi Kati

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafanya uchunguzi wa tukio la kujinyonga kwa mtuhumiwa aitwaye Michael Lambau (18), mkazi wa mtaa wa Karikacha, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Moshi Kati akishikiliwa kwa kosa la Shambulio la kudhuru mwili. Mtuhumiwa...
  2. Akotia

    JamiiForums Tanzania Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

    Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Watano wafariki Ajali Ya Ndege Mlima Kilimanjaro

    Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari. Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Kilimanjaro yawaachilia huru vijana 300 waliokamatwa kwa kudaiwa kushiriki maandamano ya Oktoba 29

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025. Limesema kuwa baada ya kuwashikilia baadae liliwaachilia huru bila masharti yoyote, kutokana na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Prof. Mkenda afurahia muitikio wa wnanachi kupiga kura

    Mgombea ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Prof.Adolf Mkenda, ameshiriki kwenye zoezi upigaji kura katika kituo cha Nduweni, huku akiridhishwa na wingi wa wapiga kura waliojitokeza.
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Malaigwanan Kilimanjaro: Tunalaani wote wanaohamasisha maandamano

    Malaigwanan Kilimanjaro waahidi kuwachagua walinda amani na mshikamano wa Taifa_ Viongozi wa Jamii ya Kimasai nchini Tanzania maarufu kama (Malaigwanan) wametoa tamko lao rasmi kwa nchi nzima, la kuunga Mkono kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025, wakilaani uwepo wa hamasa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mnyaka Sururu Mboro - Ni "Upuuzi" katika masomo ya historia jinsi Mjerumani "alivyogundua" mlima Kilimanjaro

    Ruka hadi yaliyomo Potsdam baada ya ukoloni "Upuuzi" katika masomo ya historia Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
  12. The Knowledge Seeker

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Kilimanjaro

    Habari zenu wanajamii, Lengo la mimi kufungua huu uzi ni kutaka kuwaunganisha watu wote, kutoka maeno mbalimbali, nje na ndani ya mkoa Kilimanjaro Hivyo basi ikiwa unataka au unatamani kuuliza kuhusu kupanda mlima Kilimanjaro, wataka kujua kuhusu utamaduni, mila ana desturi ya wa watu watokao...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kujenga barabara za lami Kilimanjaro

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuendelea kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa miundombinu ya barabara za lami, zege na changarawe ili kusisimua uchumi wa mkoa huo na kukuza biashara ya kimataifa kati ya Kanda ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kwa uliyenipa huu Mseto wa Kutukuka kwani kwa Siku 3 tu Wahusika wanakiona cha Moto, ila wanasema Wanafika vizuri sana Kilimanjaro

    Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
  15. ze-dudu

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua mbunifu wa hizi mbao hapa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

    Ubunifu wake unavutia sana hapo kileleni
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa BAVICHA kwa Mkusanyiko Usio Halali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikiliwa watuhumiwa 18, akiwamo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wakituhumiwa kufanya mikusanyiko iliyo kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa...
  17. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Tanzania Yaleta 'Elite Banking' Arusha na Kilimanjaro

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

    Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio. Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro. Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 TK Movement Kilimanjaro waahidi kumtafutia Rais Samia kura za ndio

    Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio. Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
Back
Top Bottom