Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.
Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Ushamba
g. Hawajui kupika
h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...
Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda.
Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza...
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Khalid Shekoloa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Kiusa, iliyopo maanispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Shekoloa ambaye ni mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo na pia mwenyekiti wa mabalozi wa usalama barabarani (RSA), anasaka kura za...
Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
Katika kilele cha siku ya kwanza ya mchakato rasmi wa uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Siha limeandika historia yake kwa kumpokea mjasiriamali Kennedy Mmari (33) kama mgombea wa kwanza kutia nia. Ni majira ya saa 8:21 mchana...
Basi la Channel one na Costa Mwami yamegongana na kuwaka moto. Cheki Point wilayani Same, umbali wa kilomita tatu kutoka Same Mjini.
Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ua Same,Kaslida Mgeni,imetokea saa 12 jioni.
Aidha,inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia kwa kuungua na moto...
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
==
MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....
Salamu kwa Vijana wenzangu,
Huu ni wakati wa...
Jumla ya miradi 52 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 84 inatarajiwa kukaguliwa, kuzinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika katika halmashauri saba za mkoa wa Kilimanjaro kuanzia Juni 28, 2025
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
Ndugu wanajamvi wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
Habari za Asubuhi!
Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake.
Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo;
1. Pesa
2. Elimu
3. Familia.
Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni.
Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii.
Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
Chadema wamemaliza ziara Mkoa wa Kilimanjaro. Ajabu ni kwamba wamepita Wilaya zote isipokuwa Wilaya ya Hai.
Hakika wanamuogopa Mbowe, wanawaogopa wana Hai
Mwenye namba ya dalali wa vyumba /nyumba au anakijua chumba kinachopangishwa;
i. kisiwe mbali na ofisi za Ruwasa za wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro.
ii. Kiwe self contained
Habari wanajamii forum napenda kushirikiana na nyinyi kitu kimoja hasa watu makini kutoka mkoa wa Kilimanjaro.
Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology. Nina safari ya kuja Kilimanjaro kipindi hiki cha likizo kwa ajiri ya kufundisha tuition kwenye masomo haya mawili japo ikitokea uhitaji wa...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika.
Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.