kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 TK Movement Kilimanjaro waahidi kumtafutia Rais Samia kura za ndio

    Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio. Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ya Sweden yatwaa ubingwa wa bonanza la Serengeti nchini Ubelgiji

    KILIMANJARO YA SWEDEN YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SERENGETI NCHINI UBELGIJI Na Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji. Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa kombe la Bonanza la Serengeti katika michuano iliyofanyika tarehe...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mtoto mdogo akatwa kichwa kwa sababu ya imani za kishirikina

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Tukio hilo limetokea Kilimanjaro Inauma sana dunia tulikofika kwa sasa Kilimanjaro imekuwa mbaya Zaid ya Geita na Tabora kwa matukio ya kikatili =============== Mtoto Ivan Innocent Chuwa mwenye umri wa miaka mitatu na nusu...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mkoa uliopoteza mtu tusimpokee Rais Samia, TUNAANZA WACHAGA Bila SOKA mama USIJE Kilimanjaro kuomba kura

    PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea UWT Kilimanjaro wamlalamikia mwenyekiti wao kwa upendeleo

    Malalamiko yameibuka kutoka kwa baadhi ya Wagombea wa Ubunge kupitia kundi la Wanawake (Viti Maalum) Mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa mkoa huo,Elizabeth Minde, kwa kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kupeleka majina ya wagombea kutoka Moshi Mjini...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mchumba nahitaji nimuoe sema sasa wazazi haswa BABA hataki nioe kabila lingine Zaidi ya binti kutoka Kilimanjaro nifanyeje?

    Nina manzi Hadi sasa ni Zaidi ya 3 years nipo nae tangu akiwa ana 19yr anasifa zote nazo zihitaji Shida Mzee anataka nirudi Kilimanjaro nichukue jiko kule alafu nimkache manzi yangu Mnashauri niforce vipi?👇👇👇
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu ,amefiwa ! Msiba uko Kilimanjaro

    Grace Martin naye kafiwa, poleni sana
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii: Mnacash-in Billions lakini Ground ni Gheto – Kilimanjaro Ni Kama Survival Game

    Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima Kilimanjaro, vibarua wabeba mizigo wanateseka kama wapo kwenye jungle ya kufa na kupona; maji...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro/Arusha hatujapata baiskeli za Mama au tutarajie Pikipiki?

    Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni mafuriko ya watu kwenye mkutano wa CHAUMA -Moshi Kilimanjaro

    Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro. Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

    ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi. mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira Relief Family Home Organization (RFHO - NGO)

    POSITION ACQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tembea Mlima Kilimanjaro – Safari ya Kuukumbuka Milele! ⛰️

    Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako! Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio professional, safe and unforgettable. ✅ Muongozo wa kitaalamu (Certified Mountain Guides) ✅ Mafunzo ya...
  20. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Kilimanjaro Waielewa NRNE

Back
Top Bottom