Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

bigjeff82

Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
34
Reaction score
20
Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp +447746604669,+255658949899
 
hapo unatafuta watu wawili tofauti,mtaalam wa mifugo na mtaalam wa kilimo,
 
Shamba linaukubwa gani na ufugaji wa mifugo gani na utanilipa milioni ngapi Kwa mwezi?
 
Chief shamba ni eka 104,60 zinamkonge tayari unaenda mwaka wa tatu,zilizobaki tunasafisha kwasasa eka 13 za kuanzia kilimo cha kawaida zinazobaki tutaendelea kuzisafisha kwaajili ya kupanda mkonge mwakani inshaAllah
 
Nina ndugu yangu ameajiriwa serikali ni afisa kilimo nadhan yupo vizur anaweza kukusaidia ni mtaalamu mzuri wa kilimo yupo Kilimanjaro
 
Chief shamba ni eka 104,60 zinamkonge tayari unaenda mwaka wa tatu,zilizobaki tunasafisha kwasasa eka 13 za kuanzia kilimo cha kawaida zinazobaki tutaendelea kuzisafisha kwaajili ya kupanda mkonge mwakani inshaAllah
Chai
 
Mkuu wekeza kwenye mazao ya kilimo cha chakula hata hasa ya mda mrefu, Hizo mikonge zina altenative nyingi sana, demand yake sio kivile, Chakula hakina mbadala wake. Ila iwe mazao ya mda mrefu
 
Hongera sana Kk mkubwa, Umetaja hiyo sehemu makanya umenikumbusha 2017 , nilimaliza Kaz ya mkataba hapa dar nikapata kinua mgongo wangu km 2 mil. Aise nilikua hapo Kwa kulima zao moja linaitwa ngwasha ni aina ya maharage flan hivi ya rangi nyeusi na nyeupe, nikadili na vitungu kwa mbali kule ruvu, aise nilikuja kufikia wakati wa pariz nilichokuja kunitokea ni Mpk now kinaumiza moyo , na ndio maana vita ya wakulima na wafugaji Aiwez isha Kwa Tz , ni kupe moyo hongera kwa hatua ulioyo fikia
 
ooh ok nilifikiria Kahawa maana bado na eneo kama eka 70 sijalifanyia kazi ndio nipo kwenye process lakulisafisha ,na horticulture kwaajili ya cash flow...nipe mawazo Kilimo gani kingine?
 
Hongera sana Kk mkubwa, Umetaja hiyo sehemu makanya umenikumbusha 2017 , nilimaliza Kaz ya mkataba hapa dar nikapata kinua mgongo wangu km 2 mil. Aise nilikua hapo Kwa kulima zao moja linaitwa ngwasha ni aina ya maharage flan hivi ya rangi nyeusi na nyeupe, nikadili na vitungu kwa mbali kule ruvu, aise nilikuja kufikia wakati wa pariz nilichokuja kunitokea ni Mpk now kinaumiza moyo , na ndio maana vita ya wakulima na wafugaji Aiwez isha Kwa Tz , ni kupe moyo hongera kwa hatua ulioyo fikia
hongera sana kaka wanalima sana Ngwasha upande huu na wateja ni Wakenya na pia vitunguu,wafugaji kweli wanasumbua but kidogo siku hizi sheria imekuwa kali so wako makini nikujitahidi kuweka fance eneo lako tuu
 
Mkuu wekeza kwenye mazao ya kilimo cha chakula hata hasa ya mda mrefu, Hizo mikonge zina altenative nyingi sana, demand yake sio kivile, Chakula hakina mbadala wake. Ila iwe mazao ya mda mrefu
Nyie watu huu ushauri sjuwi huwa mnautoa wapi. Mahitaji ya mkonge ni makubwa kuliko uwezo wa nchi kuzalisha. Yaani mtu mpaka amenunua shamba amepanda zaidi ya eka 60 unafikiri hajafanya utafiti?
 
asante kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom