Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00
Karibuni sana.
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
Habari za Leo wapenda soccer?
Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024
https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Shida ni viongozi wenye tamaa.
Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017.
Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko.
Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo.
Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
8/3/2023
NANSIO - UKEREWE
MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe
Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
Mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 Desemba 2022, ikiwa ni moja ya juhudi za Marekani kutekeleza sera yake ya kurudisha uwepo wake barani Afrika, baada ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kuiweka Afrika pembeni kwenye sera za...
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022
Hotuba ya Rais Samia
- Rais Samia ametoa salaam na Shukrani kwa Viongozi wote waliohudhuria pamoja na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) Jacob John Nkunda amesema dhamira ya kuanzisha chuo cha Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini.
Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa.
Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa sheria na shughuli zake zinafahamika na bila shaka lina mipaka yake
Kwa misingi huo, si kila tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.