kilele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafanya mkutano wa kilele wa tembo kujadili usimamizi wa tembo

    Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa tembo na hifadhi ya wanyamapori. Mkutano huo utakaoendelea hadi Mei 26 utakuwa jukwaa la kujadili...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Leo kilele cha Wiki ya Maji, tuorodheshe changamoto hapa

    Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha. Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta nashauri bodi za Bonde ziachane na mapendekezo ya ada mpya na leseni hasa za visima. Wamiliki...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Siku ya Sheria 2022: Rais Samia ataka Utu kuzingatiwa katika utoaji wa Haki. Anuani za makazi kukamilika kabla ya Sensa ya Watu na Makazi

    Leo Februari 02, 2022 katika ukumbi wa Chinangali Park, Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini akiwa kama Mgeni Rasmi. Kauli Mbiu ni: Zama za Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, Safari ya Maboresho Kuelekea Mahakama Mtandao UPDATES: RAIS...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ni mkutano wa kilele kuhusu Demokrasia au kuna ajenda nyingine?

    Na Fadhili Mpunji Tarehe 9 na 10 mwezi huu Rais Joe Biden wa Marekani atakuwa mwenyeji wa unaoitwa “mkutano wa kilele kuhusu Demokrasia” ambao utawakutanisha viongozi kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na sekta kibinafsi. Mkutano huo unatarajiwa kuangazia changamoto na fursa zinazokabili...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia katika kilele cha wiki ya UWT

    NUKUU ZA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA WIKI YA UWT. "Tumekutana hapa kwa madhumuni makuu mawili, moja ni kuadhimisha kilele cha Wiki ya UWT Kitaifa na jambo la pili ni kumuenzi Hayati Bibi Titi Mohamed na tena aenziwe hapa nyumbani kwake Rufiji" "Historia ya Bibi Titi Mohamed imeandikwa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Chakula Duniani. Je Tanzania, Tumeipa Siku Hii Umuhimu Stahiki? Kilele, Kesho, Tujitokeze kwa Wingi kwenye Kilele, Pia Kuchanja Bure

    Wanabodi Leo ni Siku ya Kimataifa ya Chakula Duniani, huu ni uzi wa swali na wito, jee sisi Tanzania, tumeipa siku hii umuhimu stahiki?. Japo siku yenyewe kimataifa ni leo, ila kilele, kwa Tanzania, kimepangwa kesho, kutokana na ratiba kugongana na tukio jingine muhimu zaidi ya Siku ya Chakula...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu yeyote leo kuweka Mashada kwenye kaburi la Magufuli?

    Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli...
  9. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni kilele cha wiki ya tafsiri

    Tujue kwanza tafsiri ni nini? Tafsiri ni uhawilishaji wa maudhui kutoka lugha moja kwenda nyingine. Tafsiri inakupa maana iliyolengwa katika lugha ya kwanza kwenda lugha lengwa. Kuanzia tarehe 24 septemba ni wiki ya tafsiri ambayo kilele chake ni 30. Kwa nini tarehe 30? Ni kwa sababu ilikuwa...
  11. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtanzania afika kilele cha Mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest

    Binti wa Kitanzania Rawan Dakik, (20) aliyepanda mlima Everest ambao ni mrefu kuliko yote duniani, ametua nchini na kupokelewa na Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mary Masanja kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA) ambaye amemtangaza kuwa Balozi wa utalii ndani na...
Back
Top Bottom