kila siku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  2. JamiiForums Tanzania ✈️ Watu wengi wanacheza Aviator kila siku… lakini wachache sana wanajua strategy ya kucheza smart 🔥

    Tatizo sio kucheza pekee, tatizo ni: ❌ kukosa bankroll management ❌ greed ❌ chasing losses ❌ kucheza bila strategy Ndiyo maana watu wengi wanaishia kuliwa kila siku bila kuelewa wanakosea wapi. Katika blog hii mpya ya Chuosmart tumeelezea: ✅ Best Aviator Strategies ✅ Safe Cashout Tips ✅ Low...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  5. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala najikuta nimegeuka upande wa miguuni, nawaza nini kinanitokea kila siku?

    Wakuu, naombeni msaada Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu. Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa...
  8. JamiiForums Tanzania Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyowasiliana kila siku huwa mnaongea nini?

    Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyo wasiliana kila siku huwa mnaongea nini ??
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

    Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro. Bei ya kawaida...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  12. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi mnafungia waamuzi kila siku hamjiulizi shida iko wapi i jitathmini hii n aibu kwa soka letuu

    Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria Mna shida kubwa sana snaaaa...
  13. O

    JamiiForums Kenya Daily Shower ni Scam Kuoga Kila Siku Inaharibu Skin

    Watu wengi wanaamini kuoga kila siku ni lazima for hygiene… but what if it’s actually doing more harm than good? Dermatologists wanasema excessive bathing especially with harsh soaps hu-strip natural oils kwa skin. Hizi oils ndio zina protect skin yako against dryness, irritation na infections...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Kila siku TANESCO wanakata umeme jioni Pugu Majohe hadi imekuwa kero

    Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku. Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
  15. JamiiForums Tanzania Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. ✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Tighten Belts Wapi? State House Yatumia KSh 50M Kila Siku Huku Kenyans Wakiambiwa Kubana Matumizi”

    Kenya’s Controller of Budget, Margaret Nyakang'o, ametoa ripoti ya matumizi ya serikali kwa Q1 ya FY 2025/2026 (July–September) — na imezua mjadala mkubwa. Ripoti inaonyesha kuwa State House, chini ya Rais William Ruto, ilitumia takriban KSh 4.5 billion ndani ya miezi mitatu, sawa na KSh 50...
  17. JamiiForums Tanzania Nimechoka! Jirani ananifuturisha mihogo na uji kila siku. Nifanyeje?

    Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama. Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.
  18. JamiiForums Tanzania Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  19. JamiiForums Tanzania Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

    Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
  20. JamiiForums Tanzania Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…