kila siku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA , Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa nyota kila siku tu

    NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 19/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Alhamisi hii sio mbaya Sana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

    Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo. Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalia na yanayoendelea Tanzania, walalamika kunyamazishwa, wadai hofu inaongezeka kila siku

    "Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua" " Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya CCM itambue huu utitiri unaoongezeka kila siku wa magari ya ving'ora na taa za bluu unawaharibia sifa kuwa wanadamu kama Watanzania wote

    Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola. Angalia kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania CCM Imewekeza Sana Kwenye Uovu, Huku Kila Siku Ikiwafukuza Wananchi.

    Sijui ndani ya CCM ameingia shetani gani!! Maana kwa mwenye akili, hata ile akili ya kawaida sana, hawezi kufanya yale ambayo CCM inayafanya kwa sasa. Kiuhalisia, CCM ya sasa imewekeza sana kwenye uovu huku ikiwafukuza wananchi wote wema na wanaotaka haki ndani ya nchi. Fikiria chama ambacho...
  12. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  13. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nataka kila siku niwe nalaza laki mbili -200k

    Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza…. Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi? Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
  16. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

    Kwema wakuu Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Back
Top Bottom