Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk.
Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
Habari wanajamii
Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye platforms kama zoom na e-learning platforms zingine (Moodle)
Je kwa mtu ambae anasafiri kila wakati hii...
Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama.
Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea.
Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa...
Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri”
Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule
Wali
Pilau
Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya)
Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga)
Mayai (kukaanga na kuchemsha)
Tambi
Mboga za majani za kuunga na nyanya
Dagaa (same, kukaanga na kuunga)
Kuku (wa...
Hamjambo!
1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa.
2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana.
3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena.
Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
Maisha ni muvi.
Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba.
Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa.
Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
Naomba kuuliza swali,
Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa?
Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
Anonymous
Thread
kilasiku
kuliko
magari
magari ya serikali
serikali
siku
wao
wengine
wenye
Wakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.
Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa...
Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma.
Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida...
Anonymous (01f4)
Thread
bei
bei ya mbolea
dakawa
kilasiku
kupanda
mbolea
mbona
siku
Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan
Means kuna rushwa inaendelea soka letu
Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi
Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria
Mna shida kubwa sana snaaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.