kikwete

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete

    Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete. Chama cha CCM kimegeuzwa kuwa chama chake binafsi na familia yake. Cha ajabu machawa hapa wanashabikia ujinga. Usalama wa taifa nao wamekaa kimya mahakama zetu na siasa zinatumika kama vile nchi ni ya misukule
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

    GT Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda. Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete anamaliza CCM mwekeni pembeni

    Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine. Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Huyu Kikwete nyie mnamuelewa kweli?

    Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara usikie ametumwa wapi huko mara umsikie anatoa matamko. Sielewi aisee hebu wajuvi mje
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

    Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya. 👇 Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taifa lazima Limshtukie huyu Mzee, ana Mipango yake ya 2030 !! Tuwakatae Wahuni Kwa nguvu zetu zote

    Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Marais wastaafu wengi walikuwa Kimya na hawakupenda sana Kuzurula hovyo katika Matukio, inakuwaje kwa Kikwete kila tukio anataka tu Kuzamia?

    Hana Mashamba au Mifugo ili ajikite zaidi huko? Anapata kweli hata muda wa Kucheza na Wajukuu zake ambao ni wengi kama Timu mbili za Mpira? Na kwanini kila akiwa katika Matukio ambayo hualikwa kwa Yeye kuomba au kulazimisha kwa Waalikaji (hasa Mualikaji Mkuu) akiwa anatoa Hotuba zake huzungumza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani

    Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mbowe akiwepo uzinduzi dira ya Taifa, Rais mstaafu Kikwete asema 'Huyu Kitila Mkumbo aliteleza, sijui Mbowe alimdanganya nini yule sasa amerejea'

    "Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu Powerful kumzidi Kikwete hapa nchini?

    Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact. Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi (shot caller)
  13. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

    Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Samia, ''Nitamteua Mpina Ubunge'', Pia Kikwete , "Samia atakapomaliza 2030". Je CCM imeshatangaza Rais kabla ya Uchaguzi?

    Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msikie Kikwete, Alisema Uchaguzi wa Kenya ni wa Uwazi, lakini Tanzania anataka Tuendelee na staili zetu za Uchaguzi

    Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha matokeo na kuyatuma makao makuu ya chama. Lakini pia kikwete alishawahi kusema haya (((((Ninaomb a...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Je, Kikwete alikuwa dikteta? Kwanini umafia wake unafichwa?

    Kifo Cha Chacha wangwe Kifo Cha utata Cha Amina chifupa Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank! Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari. Kupigwa Kofi kwa Jaji...
Back
Top Bottom