kikwete

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Rais Samia ni kiongozi mwenye maono ya mbali, 4R zake zimeimarisha Amani, Umoja na Muungano

  2. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia? Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo, nina hakika tusingeyajua yote haya nina hakika maana asingekuwa na haja ya kulipa kisasi. Falsafa ya...
  3. appoh

    JamiiForums Tanzania Kikwete mzalendo wa kweli asieimbwa

    Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa.... Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama inayomsaidia mtanganyika mpaka leo. Miaka imepita baada ya uongoz wake lakin vizaz vinaendelea kubeemeka...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania J.K. Kikwete - Overstaying your usefulness!

    Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne. Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu. Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini. Walio...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018, Kikwete aliandika haya kuhusu Bima ya Afya kwa wote

    Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Kufanikisha lengo hili kutamaanisha kila mtu katika kila jamii atapata huduma nafuu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

    GT Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete. Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
  7. kaputula

    JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka. Kwa mimi ninayeamini katika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete atakumbukwa kama Ndugai

    Tamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kikwete na madhaifu yake yote ya kibinadamu hakufikia hii stage

    Siwezi sema hakukuwa na matukio ya matumizi ya vyombo vya dola kutumika visivyo kwa maslahi ya Ccm[ kwa state party yoyo duniani hiyo ni 3.14]. Na wala siwezi sema utawala wa kikwete haukuwa na makandokando kama ilivyo serikali zingine duniani lakini HAKUFIKIA STAGE YA KUPOTEZA WATU NA...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Zitto: Kikwete aliniita akaniambia ukisema leo unakuja CCM kesho nakupa 'Uwaziri wa Fedha'

    Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe. Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea

    Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea. Siku hizi mawaziri ambao sio manilionea wanachekwa . Wakina Mwigulu wanashindana na wachina kununua nyumba masaki. Tenda kubwa kama za reli siku hizi hakuna ushindani wa tender Mama...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

    Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

    Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Kikwete 2015 Rais Samia hutaweza kumuweka unayemtaka 2030, safari ya wazalendo kudai nchi yao imeanza

    Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
Back
Top Bottom