Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni.
Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa.
Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu.
Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.
Unajuwa shida ya...
Mimi nashangaa na kujiuliza sana.
Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii?
Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu ya huyu mstaafu, ufisadi, kuharibu chama chao hadi kifo cha Magufuli na wasaidizi wake.
Yupo kimya.
Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani.
Awali liliwekwa Tangazo hili hapa
Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi?
Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
02 September 2025
CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM
https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI
Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni za CCM kumnadi mgombea wao wa urais, Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa CCM asema Humphrey Polepole...
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .
Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k
Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.
Hii nimeikuta mahali Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao wao akimtaja Edward Lowassa, Samuel Sitta na Rostam Aziz.
👇
Jee kwa maelezo haya nani alianzisha matumizi ya neno mtandao kwenye kundi lao?
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza?
Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za usataafu wakati hajastaafu na anashiriki siasa kila siku? Inakuwaje kila serikali inaposhambuliwa...
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM haujakosewa na kwamba ndio utaratibu uliotumika kuwapitisha na kuwaidhinisha Wagombea wote wa Urais...
Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia?
Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo, nina hakika tusingeyajua yote haya nina hakika maana asingekuwa na haja ya kulipa kisasi. Falsafa ya...
Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa....
Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama inayomsaidia mtanganyika mpaka leo.
Miaka imepita baada ya uongoz wake lakin vizaz vinaendelea kubeemeka...
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio...
Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Kufanikisha lengo hili kutamaanisha kila mtu katika kila jamii atapata huduma nafuu...
GT
Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete.
Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.