kikwete

  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais mstaafu Kikwete anasema uchaguzi uliopita (2020) Ridhiwani Kikwete hakuwa na mpinzani ndani ya CCM

    Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli. Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi. Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere aliona Mbali sana kuhusu Kikwete na Lowasa kwa sasa sote tu Mashahidi

    GT Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda ni sahihi kabisa Nyerere kuitwa baba wa Taifa alikuwa na maono ndiyo maana hotuba zake zote utazani kaziongea hivi karibuni na zitaendelea kushangaza wengi. Marais wengi wamepita lakini hakuna mwenye wosia unaoshi kama Mwl Nyerere huyu mzee alikuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

    Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa === Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia)

    Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

    Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi Anapigiwa mizinga First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari First lady Bi Salma alikuwa na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete ni bora kuliko Gwajima na Mpina?

    Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!. Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi imefikia Mahali ambapo, wahuni wanaamini hamna MTU wa kuwafanya kitu, Inawezekanaje, Familia ya Mstaafu wapitishwe wao tu bila ushindani ?

    Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?. Kwamba ukiwa Mwanafamilia ya Kikwete, Wewe tayari ni Kiongozi Bora kushinda Wenzio Jimbo Zima 🤣 haya ni maajabu. Lakini...
  10. Griss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ridhiwani waziri wa mambo ya nje na Salma Kikwete waziri wa jinsia na watoto

    Wakuu Kama Kuna wakati ambao tunatakiwa kupigania mabadiliko ya kweli Basi ni kipindi Kama hiki Habari kutoka kwenye corridor za kizimkazi zinasema mtoto na mama Wote watapita bila kupigwa kwa sababu wameandaliwa wapinzani mamuluki Chauma na Act Baada ya kupitishwa bila kupingwa wote watapewa...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  12. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete alaumiwe?

    Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo; 1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH? 2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, lawama zote ni kwa Kikwete kwa kuvuruga uteuzi wa mgombea Urais, lakini TUJISAHIHISHE

    Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa. Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
  14. Wimbo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Jakaya Kikwete analaumiwa?

    Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete, Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

    Salaam! Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu? Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba, Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  17. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kikwete na Majaliwa; nani mkweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi?

    Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi. Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Andiko hili limeandika na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete

    Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete. Chama cha CCM kimegeuzwa kuwa chama chake binafsi na familia yake. Cha ajabu machawa hapa wanashabikia ujinga. Usalama wa taifa nao wamekaa kimya mahakama zetu na siasa zinatumika kama vile nchi ni ya misukule
Back
Top Bottom