kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Genevieve Nnaji, Muigizaji wa kike anayelipwa zaidi Nchini Nigeria

    Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria. Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  3. JamiiForums Tanzania Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

    Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere, Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

    Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti. Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting. Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwamba muda si mrefu anaingia choo cha kike

    Habari Wana Jf Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kwasasa alindwe kama mtoto wa kike, maana hali sio hali

    Wazazi mmekuwa bize sana walahi, imani ya kwamba mnawatafutia watoto wenu ili wasije kuteseka mnakosea sana maana mwenye uwezo huo ni Mwenyenzi Mungu pekee. Mnapamnana na bado hali ni ile ile, tumezaliwa ili tusaidiane. Watoto wa kiume wamearibikiwa kwa sababu wazazi baadhi hawana hata hofu ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kike anayejiamini

    Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35. Nipo Dar, nimejiajiri. Kiongozi na mtawala. Cuddling expert. Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k. Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana. Furaha yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Biashara ya saluni ya kike ya kisasa

    Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie. Kwanza biashara hii ukitaka uiendshe kisasa lazima utoe hudumña 4 muhimu ambazo ni 1. Pedicure and manicure(kucha...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  13. JamiiForums Tanzania Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  14. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  16. JamiiForums Tanzania Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

    Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

    Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K, Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina...
  18. JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

    Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…