kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii wa kike kwa sasa mwenye sauti tamu kuzidi ya haka ka kuitwa Yammy?

    Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Neno tusi ni sumu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume

    Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
  3. JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  5. JamiiForums Tanzania Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  9. JamiiForums Tanzania Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini vimbunga vingi vina majina ya kike?

    Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo. Inafikirisha kwa kweli.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una mtoto wa kike, mke, ndugu na n.k akiwa msanii we kubali utakayokutana nayo

    sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume. Kuna shida gani sanaa na wanawake
  15. JamiiForums Tanzania Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  16. JamiiForums Tanzania Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza. Kuna magauni ya kike kama 70, Tshirt kama 15. Na jeans kama 150. kuna feni mbili, Kioo, Kabati la jeans, na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  19. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.6 Zimetengwa Kwaajili ya Kugharamia Taulo za Kike

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh bilioni 1.06 ni za ruzuku ya uendeshaji na Sh bilioni 1.58 ni fedha kutoka mapato ya ndani ya...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba? Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…