kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  2. Tangazo la kupotea kwa Mtoto wa kike

    ⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo aliyopotelea: Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe. Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
  3. Ukweli kuhusu ubikira wa kike

    DEAR MEN, A VIRGIN GIRL MAY NOT BLEED ON THE FIRST DAY OF SEX. NO. SHE DIDN'T LIE TO YOU. READ. SHARE. REPOST. Walk with me, Men. The Hymen and Other Heavy Myths: A Small Tissue, a Large Silence As a gynaecologist, let me speak gently, and slowly, and clearly about the hymen, because...
  4. Sio kweli kuwa Fisi mmoja ana jinsia mbili, fahamu ukweli kuhusiana na mkanganyiko huu

    Mkanganyiko huu unasababishwa na Fisi Jike Maumbile ya Fisi Jike Fisi jike ana kisimi kirefu kinachoitwa pseudo-penis ambacho kinafanana sana na uume wa dume. Pia, midomo yake ya uke imejishika na kutengeneza mfuko unaofanana na korodani (pseudo-scrotum) Uzazi Licha ya kuwa na maumbile...
  5. Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  6. Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  7. O

    Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
  8. Kahama Jeans; Karibu ujipatie Jeans aina zote Bei kitonga sana

    Coat jeans_Tsh 15,000/ Boyfriend jeans Tsh_ 15,000/ flare jeans_ Tsh 15,000/ Mom jeans _Tsh 15,000/ jeans normal _Tsh 10,000/ tops_ Tsh 5000/ 📍Napatikana Kahama mjini ➡️delivery bure ndani ya kahama ➡️mikoa jirani na kahama delivery ukipokea mzigo ndio unalipa ➡️ nicheki Pm au Whatsapp...
  9. E

    Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  10. Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  11. Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

    Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya Walipoona hataki...
  12. Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  13. Natafuta mchumba wa kike

    Awe kuanzia 25 mpaka 50. Mwenye biashara zake au kaajirawa. Dini yoyote, kabila yoyote. Mimi mfanyabiashara. Niko 50+ Karibuni warembo
  14. PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  15. Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  16. Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  17. NATAFUTA RAFIKI WA KIKE

    Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
  18. GE2025 Kwa fisi, awe wa kike au kiume, akiona nyama, utamjua

    Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
  19. Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  20. Nimekumbuka kile kitoto cha kike kijinga kilivyoniona mimi Falah

    Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish. Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende. Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…