Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake.
Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
Mpo salama!
1. Kesho ni Siku ya kwenda kuabudu kwa madhehebu mengi ya Kikristo yakiongozwa na Kanisa Catholic na KKKT.
2. Kwa hapa Tanzania Kanisa Catholic ndio kanisa Kubwa lenye waumini wengi. Lakini pia ndilo Kanisa Mama linalobeba Makanisa mengine ya Kikristo.
3. Kanisa hili neno au tamko...
Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18).
Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17)
Pasipo Haki, hakuna Amani.
Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22)
Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa...
Habari wakuu,
Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge.
Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi Jumuhiya za Mwenge ratiba yake ya asubuhi ipoje? Yaani zinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Huu utaratibu wa waumini wa kanisa katoliki kukutana kila Jumamosi kwa ajili ya taratibu zao za Jumuiya nadhani linapaswa kuigwa na liwe jambo la kila Mtanzania.Jumuiya hizi hujengwa na familia kadhaa zisizopungua tano hadi kumi na tano zilizo jirani.Familia hizi hushirikiana katika mambo yote...
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu!
---
ROME (AP) — Pope...
Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony
Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group
An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married.
In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
Hii imekuja baada ya kushutumu watu wanaotembea maelfu ya km kwenda mojawapo ya Kijiji Nchini humo kufanya hija Kwa maelezo kwamba mwaka 1981 Bikira Mariam mama wa Yesu aliwatokea mabinti 2 eneo Hilo.
Kagame amechukizwa na Hali hiyo ambayo Kanisa la Katoliki Rwanda linabariki na kufanya sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.