mkuu vp bado unahitaj wengine au??Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
shetani aliyetumwa kuwachomoa wakatoliki wa kike! We pepo kamili, tena ushindwe na ukome jini mkubwa wewe!!Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
Jiandae kukujazia nnzi kwako kwa mambo yanayoitwa "jumuiya"Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
Tumuongezee Wale waimba KWAYA?mkuu vp bado unahitaj wengine au??
Waimba KWAYA ukiona wamekusanyika jichanganye HAPO alafu malizia mchezoWalete
Hua hawachomoi HIO code nimekupa ni uhakika Ila usisahau wanatukana vibaya sana kwa HIO kua makini usije ukayaoga km yoteNtachukua ushauri wako