kikabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Ni lini lugha za kikabila zitakuwa somo kama ilivyo kwa Kiarabu, Kiswahili, Kingereza na Kichina?

    Kwema Wakuu! Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu. Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
  2. BIG STONE AND CONER STONE

    Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

    Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko Mashariti ya Kati! This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries. The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians . I'm...
  3. Mwl.RCT

    Mwalimu Julius Nyerere | Mgogoro Wa Kikabila Rwanda, For Crisis in the Great Lakes 1996

    Mwalimu Julius Nyerere | Akizungumza mjini New York, katika mkutano wa meza duara ulioandaliwa na Taasisi ya Amani ya Kimataifa, Nyerere alisema kuwa Warundi wa kabila la Rwanda, wanaoitwa ‘Banyamulenge’, ni watu wanaostahili haki zao za binadamu na za kiraia kama raia wa Zaire. Aliongeza kuwa...
  4. Chachu Ombara

    Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
  5. Carlos The Jackal

    Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani. 1. Majani ya Mpapai Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya...
  6. JanguKamaJangu

    Idadi ya vifo kutokana na ghasia za kikabila Sudan imefikia 65

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita. Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
  7. YoungPastor

    Suala la kutaja 'Wamasai' kwenye sakata la Ngorongoro ni ukabila. Wale ni Watanzania

    Habari ya wakati Muungwana? Nimeguswa sana na thread kadhaa zikizungumzia kuhusu Ngorongoro na Loliondo. Matumizi ya neno wamaasai au wamasai au Masai, binafsi naona ni ubaguzi wa kikabila. Ukizingatia wote ni Watanzania sioni haja ya kuitana kikabila, naona WAKAAZI WA NGORONGORO/LOLIONDO ni...
  8. L

    Watoto wafanya maonesho ya mavazi ya kikabila ya Hanfu ili kuonyesha uzuri wa utamaduni wa jadi

    Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China. Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri wa mavazi ya Hanfu na utamaduni wa jadi wa China. Kutokana na shughuli hiyo, watoto walijifunza...
  9. MSAGA SUMU

    Msaada : Mrisho ni jina la Kiislamu, Kiyahudi, Kikristu au kikabila?

    Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake. Hivi hili jina lina asili ya wapi? Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk. Au ndio jina la...
  10. kavulata

    Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  11. Bikis

    Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro. Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
  12. masopakyindi

    Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  13. kimsboy

    Waasisi wa lile ‘Genge la Mtandaoni’ la kuipinga Awamu ya Sita kwa malengo yao kikabila wanajulikana!

    Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu. Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na...
Back
Top Bottom