Suala la kutaja 'Wamasai' kwenye sakata la Ngorongoro ni ukabila. Wale ni Watanzania

YoungPastor

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
275
419
Habari ya wakati Muungwana?

Nimeguswa sana na thread kadhaa zikizungumzia kuhusu Ngorongoro na Loliondo.

Matumizi ya neno wamaasai au wamasai au Masai, binafsi naona ni ubaguzi wa kikabila. Ukizingatia wote ni Watanzania sioni haja ya kuitana kikabila, naona WAKAAZI WA NGORONGORO/LOLIONDO ni neno la kiungwana zaidi.

Naomba kuwasilisha?
 
Kuna ajali ilitokeaga wakati wanawataja majeruhi kadhaa,wakawajumuisha kwa kusema
Walikuwepo na wamasai kadhaa

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom