Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora zilizofanyika Wilayani Nzega, baada ya mabango yaliyokuwa yakimnadi mgombea huyo kuondolewa...
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 katika Jimbo la Nzega Vijijini umeacha gumzo zito, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Dkt. Hamisi Kigwangalla, kudaiwa kuangushwa kwa hila, hujuma na mchezo mchafu wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
Katika jambo la kustaajabisha mithili ya Mende kuangusha kabati, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata ameshinda kura za Maoni kwa kura 2,570 dhidi ya Ndugu Hamis Kigwangala.
Kigwangalla ambaye ni Kada Mkongwe wa CCM na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, amepata kura 1,715, huku...
Kupitia ukurasa wa akaunti yake ya Instagram mtia nia wa jimbo la Nzega vijijini ameandika haya "Kupitia Kazi Inayoongea! “kuna watu mtakuja mtasema maneno mengi sana Kwa sababu zenu mbali mbali; lakini muwe na uhakika pia kujua na kusema kuwa si rahisi kufikia hapa, I put in the work in this...
"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila Kata. Nilitoa ahadi labda kwa viongozi wa chama kuwapa pikipiki au baiskeli au pikipiki napeleka. Nipo...
https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175
Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije mkajichanganya.
Kwa mujibu wa Grok Musk Hana Token yeyote inayoitwa x Token.
Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika
Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa.
"Mimi nimewahi...
Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa...
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
Anonymous
Thread
dkt. kigwangalla
jimbo
jimboni
kigwangalla
kijiji
kupata
maji
maji safi
nzega
safi
wananchi
wazi
"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti?
Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini
Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani?
Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla...
Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo?
Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala...
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho.
Je, hizo bucha bado zipo?
Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.