kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara eneo la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji iboreshwe, mashimo yanakera

    Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini. Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii. Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini anzisheni Kigoma Social Funds

    Habari Tanzania ! Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya Shule ya Muhamani - Kigoma Vijijini vimejaa, Wanafunzi hawana pa kujisaidia

    Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wakulima wa Tumbaku Kigoma yanatakiwa kutoka ndani ya wiki 2, tunaenda mwezi wa 3 hatujalipwa

    Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo. Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba Levo latupiliwa mbali, Kesi ya Uchaguzi

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na hivyo kufungua rasmi mlango wa kusikilizwa kwa ushahidi katika shauri la uchaguzi la Jimbo la...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

    Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya. Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama M23 wamefika Uvira, kumbuka Burundi ni kama Tanzania iliyojifia basi Kigoma kuwa mbioni

    Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi. Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale waliotisha press kumtetea Rais hivi unajua wote wana asili ya Kigoma!

    Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao. Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na kwanini. Sio wote ila ule mkoa kiukweli kama kila mikoa ina sifa yake kwa mkoa ule naelewa vizuri maana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

    Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili. Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madereva bodaboda na bajaji Kigoma waahidi amani na kutoshiriki Maandamano

    Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa Bajaji na Bodaboda Mkoa wa Kigoma, wameazimia kutunza amani na kufuata sheria za nchi katika kudai haki...
  18. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kigoma ndio mkoa last born

    Habari Tanzania ! Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana. Ila sasa Kigoma muache kudeka deka inatakiwa muwe mnajiongeza. Nawapenda Kigoma. Bye.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitamtafuta Zitto kuna mambo mazuri anayo kwa maendeleo ya Kigoma Mjini

    Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo. Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
Back
Top Bottom