kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli kuhusu Kigoma!?

    Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi. Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini. Je kuna ukweli gani...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  3. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini. 1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77 2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38 3. Dkt. Ahmad Sovu: 32 4. Baruan Muhuza: 20 5...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya mafuta ya mawese kigoma-urgent

    Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil. Asante
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

    Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wauwa watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi katika majibizano ya risasi

    Watu watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi mkoani Kigoma. Watu hao wanaodaiwa kupanga kufanya unyang’anyi kwa kutumia silaha, wanadiwa kukutwa bunduki moja AK 47, magazine 1 ikiwa na risasi 10, bunduki iliyotengeneza kienyeji, visu viwili, panga na...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  9. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna deni na Mama

    Kigoma Hatuna tena deni na Mama; 1. International airport imejengwa, 2. Lami mpaka mlangoni, 3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika. 4. SGR mpaka Burundi.
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Serikali kupitia mradi wa SEQUIP yatoa Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za sekondari

    Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani Kigoma. Shule hizo ni pamoja na Shule ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unajenga bandari ya Nyamirembe kwa bil 4 ili itumike kupeleka mizigo Drc huku unajenga Sgr mpaka Kigoma

    Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan. Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni. Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma? Hizi ni siasa gani?
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Burj Al Kigoma

    Jengo Makini na la Kisasa litajengwa maeneo ya Kasulu.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Sirro amewaonya wenye nia yakutenda uhalifu mkoa wa Kigoma

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP(Mst.) Mhe. Balozi Simon Sirro ametoa onyo dhidi ya wenyenia ya kutenda uhalifu mkoani humo na kusisitiza kuwa Jeshi la Polisi lipo imara na halitosita kuchukua hatua dhidi ya yeyote atakayebainika kushiriki vitendo hivyo. Soma, pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Kigoma inaongoza kwa kuwa na wanasiasa matapeli

    Zitto, Masele,Tumbuli nk ongezea Why always kigoma?
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kigoma imebarikiwa kuongozwa na IGP & Balozi (Mstaafu)

    Hakika wana-Kigoma tunajisikia fahari sana kupata bahati ya Kiongozi Makini na mwenye uzoefu wa kutosha katika medani za usalama na Diplomasia (Kimataifa). NB: Kigoma hatuna deni. Lucas Mwashambwa Pascal Mayalla
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kigoma Airport yang'ara duniani

    Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum. KIGOMA HATUNA DENI
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam

    Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote zilipwe, then mwanamke baada ya kutakata, kupendeza na kuwa mrembo wahuni wanaanza kumvizia, na yeye alivyo...
Back
Top Bottom