Kifungo cha Diddy Chapunguzwa Tena Licha ya Ugomvi

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
754
Reaction score
1,747
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru Januari 2028.

Soma: P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028

Diddy Alihukumiwa Rasmi Oktoba 2025 Kutumikia Kifungo Cha Miezi 50 Jela Kwa Makosa Ya Kingono

Sean_Combs_Cannes_2012_(3x4_cropped_2).jpg
 
Afungwe miaka mingi kwani alikuwa anamlazimisha mtu mkuu?

Walipokuwa wanaona shehena za vimiminika vya mafuta ya watoto vikishushwa malori kwa malori ndani kwa jamaa na hana mtoto mdogo walitegemea nini?
Ivi huyu jamaa hana mtoto au hana mtoto mdogo?
 
Na wewe una uhakika hakuna ambao hakuwanajisi ktk waliomshtaki?
Mpaka wanamshitaki si walishapata evidence kabisa kuwa alihusika katika matendo waliyomhukumu kuwa amefanya? Je? Pdiddy asingekuwa mtu mwenye pesa na ushawishi angepunguziwa hiyo adhabu yake? Angekuwa aliyekutwa na hatia ya kosa kama la pdiddy ni mtu wa kawaida asiye na umaarufu angepunguziwa muda wa kukaa jela au angeongezewa?
 
Mkuu mfumo wa sheria wa wenzetu hauzingatii hayo haya yapo tu huku kwetu tusiojitambua!

Yumkini waliomshtaki siyo wale waliompa kwa sababu walipata raha au makusudio yao fulani yalifanikiwa ila ni wale aliojaribu kuwanajisi hawakumpa ila kwa sababu jamaa tajiri wakaona warudi kumshtaki kwa kigezo awalipe fidia ya uwongo sasa mahakama imelingʼamua hilo imeamua itengue adhabu za mwanzo na kumpa ambazo ni stahiki?
 
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru Januari 2028.

Soma: P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028

Diddy Alihukumiwa Rasmi Oktoba 2025 Kutumikia Kifungo Cha Miezi 50 Jela Kwa Makosa Ya Kingono
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.

qmmq bado ana safari ndefu .2028 parefu mno.

AKitoka Jela nadhani ataokoka.
 
Back
Top Bottom