kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo cha Albert Ojwang watatu wakamatwa

    Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa polisi. Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo...
  2. JamiiForums Tanzania Siku hizi tumeamua kukinunua kifo kwa gharama zetu wenyewe

    Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Askari James Mukhwana Akamatwa na kuhusishwa na Kifo cha Albert Ojwang

    Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  5. JamiiForums Tanzania Katikati ya uhai na kifo ndipo yalipo mafanikio yako

    Katikati ya uhai na kifo, hapo ndipo kuna maisha yako.. Kabla hujafa, wewe ndio adui mkuu wa furaha yako.. Ukiwa hai wewe ndio star, wa kuchagua uwe na tabasamu lipi. Madeni yako ni wakati unapumua tu, ukiondoka watakulipia ndugu.. Amani unayoitafuta kwenye vichaka vya usaliti, na wanafki...
  6. JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Farid Hadi asema "Bila Shaka Sheikh Jabir amedhulumiwa kifo chake ni funzo kwetu tuzingatie sana", atuma ujumbe kwa Rais

    Chanzo: Zanzibar Today Sheikh Jabir Haidar Pia Soma ~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili ~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  9. JamiiForums Tanzania Yezebeli na kifo cha aibu

    GTs, Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini) Itakayo Kujia Hapa Hapa JamiiForums Mwanzo Mwisho, Hii Sio Ya Kukosa, Na Kama Ulipitwa Na Simulizi...
  12. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  14. JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  15. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  16. JamiiForums Tanzania Ni fainali ya kifo.. Imengiliwa mno na watu wenye maslahi binafsi yasiyojulikana nia yake

    #MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja. Magori amesema anaendelea kuchunguza baadhi ya masuala yaliyotekea nyuma na ataripoti kila jambo ikihitajika kwa FIFA...
  17. JamiiForums Tanzania 𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  19. JamiiForums Tanzania Nina hofu ya kifo sana

    Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…