Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo.
Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu.
Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa.
Serikali je, Kodi ni muhimu...
Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu Huu👇👇👇
Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
Mungu anatwala.
Haugui
Hafi
Hachoki
Hazimii
Hatishwi
Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa.
Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote.
Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu.
Ni...
Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
Kifo ni sehemu ya mpango wa Mungu
Qur'an inasisitiza kuwa kifo ni mchakato wa kawaida uliopangwa na Mwenyezi Mungu kwa kila kiumbe hai.
(Surah Aal-Imran 3:185)
(Surah Al-Mulk 67:2)
2. Hakuna anayeweza kuepuka kifo
Hata Mitume na watu wema hawawezi kuuepuka wakati wake ukifika.
(Surah...
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali
Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE
Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
Ameandika makamu wa rais Yanga SC Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram.
“Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza sana, wanaweza kukusababishia matatizo na wakawa wa kwanza kukupa pole, wanaweza kukwambia tupo pamoja na wakakupa mkono ila pembeni yako wana...
Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao
ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa
ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo.
Miongoni mwa maswali...
ADHABU YA UHAINI TANZANIA SIO LAZIMA KIFO.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama kuu na ya Rufaa zinasema kuwa popote katika sheria ambapo limetumika neno "SHALL BE LIABLE ON CONVICTION TO SUFFER DEATH", maana yake ni kuwa sio lazima mtuhumiwa ahukumiwe kifo bali anaweza kuhukumiwa...
Mtu mpaka anafikia kiwango cha kuitwa Jasusi , huyo sio mwenzako tena. Amini nakwambia .Anyway leo nakupa kisa kimoja hivi;
Siku moja Kwenye moja ya mitaa ya jiji la Moscow, maafisa wa polisi walifika eneo la parking ya magari. Hii na baada ya kutaarifiwa kuna tukio la mauaji limetokea...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
Kama baada ya kifo nafsi/roho huendelea kuishi na kupata fursa ya kuonana na muumbaji wa ulimwengu, basi ndoto yangu na ombi langu kuu mbele ya muumbaji ni kupata fursa ya tour. Yaani deep time travel tour back in time miaka bilioni 15 iliyopita, nishuhudie nini kilikuwepo kabla ya Big bang...
Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga .
Mkipata wekezeni
Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa
Watoto wenu mnawaacha katika umasikini.
Mkizeeka pia mnatia aibu.
Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.